MTOTO wa MZEE MAJUTO Afunguka MAZITO kuhusu Msiba wa BABA Yake

0
229

Mwili wa marehemu MzeeMajuto umefikishwa katika msikiti wa Maamur-Upanga. Baada ya swala ya mchana utapelekwa Karimjee na familia Imeeleza kwamba wanatarajia kuanza safari ya kuelekea Tanga ifikapo saa 10 Jioni.

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here