BAGA, LULU DIVA NA RICH MAVOKO WATIBUANA

0
240

Ikiwa bado Tasnia ya Filamu nchini inapitia changamoto kubwa ya kujijenga upya, Leo Dizzim Online kupitia kipindi cha #Reel Film, Imezungumza na Mmoja kati ya waigizaji na waandaaji wa maswala ya Filamu nchini ajulikanae kwa jina la Baga Mteme. Moja kati ya mazungumzo ilikuwa ni kuhusu Mh.Paul Makonda anavyojitolewa kunyanyua wasanii kwa kila nyanja.

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here