MODELING AGENCY ZINA UMUHIMU WOWOTE?/ MODELING NI UHUNI?

0
217

Moja kati ya mambo ambayo hata wazazi wanaogopa watoto wao kujihusisha nayo ni ]MODELING] wakihisi ni uhuni lakini kumbe sio kama wanavyofikiria, na hapa tumeongea na Models ambao wako chini ya agency na wamesema kila kitu kipo sawa na kurekebisha taswira mbaya za watu juu yao

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here