INSPECTOR-HAROUN-BABU moja kati ya mambo ambayo kafunguka ni pamoja na kutamani kufanya kazi na Diamond,Alikiba lakini pia kutokuwa anamjua Godzilla na kupenda kazi za...
Mwanamuziki NATACHA Kutoka Burundi alizungumzia soko la Muziki nchini humo, kolabo yake na Fally Ipupa, pamoja na mipango yake katika kujitanua kimataifa