News

Ubalozi wa Marekani wafurahishwa na Alicia Keys kumshirikisha Diamond Platnumz

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, umeeleza kufurahishwa na hatua ya kushirikishwa kwa nyota Diamond Platnumz kwenye album mpya ya Alicia Keys, ‘ALICIA’. Kupitia mtandao wa...

Taurus Musik Waachia Kwazi mbili za Wasanii wao Wapya, ‘Keemlyf’ na ‘Tallie’

Wasanii wapya chini ya lebo ya muziki 'Taurus Musik' yenye makao makuu yake nchini Kenya, Keemlyf na Tallie wameachia kazi zao za kwanza chini...

Nedy Music Akanusha kuimba Kilichomkuta kwenye ‘Acha Iwe’

Nyota wa muziki nchini Tanznaia, Nedy Music amesema kuwa kinachosikika kwenye kwenye wimbo wake mpya 'Acha Iwe' sio kisa kilichomtea yeye kama baadhi ya...

Mattan – Najiuliza (Official Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, 'Mattan' ameachia video rasmi ya wimbo wake mpya 'Najiuliza' kupitia mtandao wa YouTube, Mei 8 2020. Akisikika...

Rapper Tekashi69 Aingia Kwenye Rekodi Mpya Baada Ya Kutoka Jela

Rapper kutoka Marekani, Tekashi69 au 6ix9ine ameingia kwenye rekodi ya ‘Instagram Live’ ya kuwa Nyota wa muziki wa rap aliyetazamwa na watu wengi zaidi ‘Live’...

Lady Jaydee Athibitsha Kolabo Ya Pili 2020, Mara Hii Yuko Na Dogo Janja

Mkongwe wa Bongo Fleva, Lady JayDee amethibitisha kuwa kwenye kolabo na Msanii wa muziki kutoka lebo ya MMB, Dogo Janja. Kolabo hiyo na Janja, Jide...

Sammy John Ajitofautisha Na Wasanii Wengine Wa Bongo Fleva kwa ‘Nawe’

Msanii wa muziki nchini Tanzania, Sammy John ameachia wimbo wake rasmi wa tatu unaokwenda kwa jina  'Nawe' uliotayarishwa na Producer Slim Nipe Beat huku video...

Meek Mill Apata Mtoto Wa Kiume Siku Ya Kumbukumbu Ya Kuzaliwa Kwake

Ikiwa Rapper Meek Mill kutoka nchini Marekani ametimiza umri wa miaka '33' Mei 6 2020, tarehe hiyo imekuwa ya Bahati kwake na Mapenzi wake...

Chief Wonder Aachia ‘De Amor’ chini ya Mazuu Records

  Msanii kutoka Studio za Mazuu Records nchini Tanzania, 'Chief Wonder' ameachia audio ya wimbo wake mpya kwa jina 'De Amor'. Wimbo huo umatayrishwa katika studio...

Latest articles

spot_imgspot_img