Mashindano ya Taifa ya Ligi ya Kikapu (National Basketball Playoffs league) yanatarajiwa kuanza Tarehe 27 October mwaka 2018 na kufikia kilele chake Tarehe 4...
Wazamini wa vilabu vya Simba,Yanga na Singida United wazishauli timu hizo kuongeza juhudi wakati huu kuelekea kwenye mashindano yanayoandaliwa na wazamini hao.
Mshindi wakwanza wa Shinda Zaidi na Sport Pesa kwa mara ya kwanza atangazwa leo ambapo hapo awali awali mshindi alikuwa akiendesha Bodaboda lakini sasa...
Bondia Hassan Mwakinyo azungumzia ushindi wake na jinsi alivyopata shida wakati wa kwenda kushiriki mashindano ya ubondia,ambapo amepigana na Bondia namba nane (8) Duniani...