Irene Uwoya alikuwa mgeni kwenye kipindi cha Chill na Sky Jumamosi ya June 4. Kwenye sehemu hii anazungumzia ukimya wake kwenye filamu, ujio wa tamthilia yake ya Drama Queen, filamu ya Dance, mifakarano ya baina ya wasanii wa filamu na kukosekana ka ushirikiano kwenye tasnia hiyo na mengine
