Diamond Platnumz: Nawapenda sana watoto wakubwa wa Zari

0
256

Hii ni sehemu ya kwanza ya kipindi cha Chill na Sky ambapo Diamond anazungumzia nyimbo zake mbili, Fire na I Miss You. Pia amezungumzia kuhusu shopping aliyowafanyia watoto wakubwa wa Zari na jinsi anavyowapenda. Nenda hadi dakika ya 11 kumsikia akiwaongelea watoto hao

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here