News kumbe Rich alikuwa ni mtoto wa Majuto By admin - September 16, 2018 0 248 Facebook Twitter Pinterest WhatsApp Mwigizaji wa Filamu Tanzania Singo Mtambalike (Rich) amezungumzia mahusiano yake na Marehemu Mzee Majuto .asema alikuwa kama baba kwa upande wake pia ndio aliyempokea kwenye Tasnia ya Filamu.