Mama wa Bondia Hassani asema mateso alopitia mwanae

0
237

Mama wa Bondia Hassani Mwakinyo aeleza jinsi mtoto wake alivyo pitia changamoto wakati wa kushiriki katika Mashindano ya Ngumi na kuibuka mshindi.Pia azungumzia kuhusu Hassani Mwakinyo alivyokuwa akipenda mchezo huo tangu enzi za uhai wa marehemu Baba yake.

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here