Forozani Garden ni moja ya Sehemu inatotumika nawanachi wengi wa Tanga kwaajili ya Kupumzika hasa nyakati za Jioni na siku za mapumziko (Weekand) Team ya Dizzim Online tumekutana na vijana wa Jiji hili na kuzungumza nao juu ya Maisha na kipi kinachowavutia hapa Forozani. Moja kati ya imani iliyotengenezeka na watanzania ni kwamba vijana wengi wa Tanga ni wavivu kufanya kazi na wengi wanapenda kushinda maskani.imejengeka imani kuwa wasichana wengi wa Tanga niwachunaji hivyo wageni wengi hufilisika pindi wanapoingia katika Jiji hili.
