MAKONDA AKUMBUKE KUNA JELA NA HOSPITALI/ ASIJIAMULIE VITU/ ALIACHIE JESHI LA POLISI: MAONI YA WATU

0
220

Dizzimonline imetembelea Baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar es salaam kufahamu wanapokeaje Masuala mbalimbali yanayoendelea katika Mitandao ya kijamii hasa wala wanaoweka Video na picha mbaya zisizo na Maadili pamoja na wale wanaoweka zile za kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja.

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here