Abbas Seki amtolea Povu aliyekuwa D.O.P wa Wema Sepetu

0
219

Katika kuhakikisha tunaludisha imani na uthamani wa Filamu zetu nchini,Dizzim Online & Dizzim Tv kupitia kipindi Cha Reel Film tunahakikisha tunatoa Fursa kwa wasanii wote Chipukizi na wenye majina ili kusukuma Gurudumu ya sanaa yetu. Reel Film Leo imepiga Story na Director Abbas Seki ambae ameongoza Filamu ya Mchumia,pia tumezungumza na mmoja kati wasanii waliyoshiriki ajulikanae kwa jina la Amina Kilama. Moja kati ya mazungumzo ulikuwa ni pamoja na kujua changa moto wanazopitia katika kuandaa Filamu ukizingatia ni wasanii wachanga. Pia tumezungumzia sanaa ya mkoa wa Morogoro kwa ujumla. Ilikutazama yote haya Ingia Youtube kwenye Channel ya Dizzim Online pia usisahau ku Subscribe .

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here