MADAM RITHA AMTUPIA DONGO HARMONIZE?/ AIMBA WIMBO WA MALAIKA/CHAGUENI NANI ZAIDI MIMI AU YEYE!

0
249

Chief Judge MADAM RITHA arusha Jiwe gizani ingawa kwa asilimia kubwa imeonekana ni kama amemtupia Msanii HARMONIZE baada ya kupanda JUKWAANI Usiku wa Jana pale SLIP WAY na kuimba Wimbo wa MALAIKA ambao HARMONIZE aliwai kuimba kipindi anashiriki BSS na alipondwa kwa kuimba vibaya.

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here