News NANCY SUMARI AWA MIONGONI MWA WATEJA WALIOFURAHIA PUNGUZO 70% LA DANUBE LEO By admin - November 14, 2018 0 226 Facebook Twitter Pinterest WhatsApp DANUBE yaamua kuwapa Wateja wake Punguzo la Asilimia 70% ya FURNITURE pamoja na Bidhaa mbalimbali za MAJUMBANI pamoja na MAOFISINI. Moja ya Watu waliokuwa wanaenjoy Punguzo hilo ni Mrembo ambaye amewai kushinda Taji la Miss Tanzania NANCY SUMARI.