News NILIOTA NIMESHINDA NYUMBA/ NDOTO IMETIMIA MARA MBILI: PRISCA MSHINDI WA NYUMBA NA MIL 20 KUTOKA BIKO By admin - November 15, 2018 0 234 Facebook Twitter Pinterest WhatsApp Kwa mara ya kwanza historia imeandikwa Tanzania kwa Prisca Simon Msuya kuwa mtanzania wa kwanza kushinda nyumba ya kisasa na 20,000,000/= kwa buku tu.#BIKOTANZANIA