Press HAJI MANARA: HATA UWE YANGA LAZIMA UNUKIE/ MWANA FA NIMEELEWANA NAE By admin - January 14, 2019 0 223 Facebook Twitter Pinterest WhatsApp Siku ya Leo Msemaji wa Mabingwa wa Tanzania #HajiManara ametangaza kuzindua bidhaa yake ya Perfume pamoja na kuanzisha Haji Manara Foundation.