Baada ya ShIrika la Ndege la #AirTanzania kuonesha kutofurahishwa na kitendo ilichofanywa na Msanii #DiamondPlatnumz Uwanja wa Ndege wa Mwanza cha kuwarekodi wafanyakazi wa Air Tanzania licha ya kuwa na kosa, Hii Leo Madee amepata Shavu kutoka kwa Shirika hilo.
