Kwenye codes101 jana mwanamitindo na #MissMwanza2013 lakini pia VideoVixen wa nyimbo ya sikomi ya DiamondPlatnumz ,tumekutana nae kwenye #RedCarpet na kupiga nae story za fashion lakini hasa hasa muonekano wake ambapo alikataa kuonesha viatu alivyovaa
