Harmonize awapa zawadi ya Magari wazazi wake

Staa wa muziki kutoka lebo ya WCB Wasafi, Rajab Abdul Kahali a.k.a Harmonize amewapa zawadi ya magari  mawili ya aina moja wazazi wake.

Staa huyo mwenye umri wa miaka 25, alionesha kufanya hivyo kupitia Insta Story yake hata kuwapa uhuru kila mmoja wa kuchagua ni gari ipi atachukua.

Hatua hii imekuja, wiki chache tangu mkali huyo wa wimbo ‘Never Give Up’ amzawadie gari rafiki yake wa karibu ‘Jose Wa Mpango’ kama shukrani ya mchango wake kwenye hatua za mafanikio yake.

Yatazame Mahojiano na Jose Wa Mipango.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img