Staa wa muziki kutoka nchini Kenya, Masauti ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya aliomshirikisa mwimbaji Lava Lava kutoka lebo ya WCB Wasafi.
Wimbo huo unaokwenda kwa jina ‘Dondosha’ chini ya utayarishaji wa Producer Motif, video yake imeongozwa na Director Nezzoh Montana kutoka nchini Kenya.
Itazame video ya wimbo huo.




