Danzak Aibukia kwa Producer Alonem Na Aby Dad Kupakua ‘Machejo’

Staa wa muziki Mwenye asili ya Omani na Tanzania, Hamdan Al Zakwani a.k.a Danzak ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya kwa jina ‘Machejo’.

Mkali huyo anayeendelea kufurahia mapumziko ya likizo yake nchini Tanzania, wimbo wake huo alioachia umekamilika katika utayarishwaji wa Aloneym huku video ikiongozwa na Director Ivan.

Itazame video ya wibo huo mpya hapa chini.

 

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img