Hii ndo list ya nyimbo 30 zitakazopatikana kwenye Album ya kwanza ya Ibrahim Mandingo a.k.a #CountryBoy au #Gaddafi kutoka Tanzania.
#YULEBOY ndo jina la Album na itatoka rasmi leo Novemba 15, tarehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mkali huyo wa Trap na Staa wa ngoma ‘Turn Up’.




