Mkuu Wa Wilaya Ya Nyang’hwale Hamim Gwiyama Afariki Dunia

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, mkoani Geita, Hamim Gwiyama amefariki dunia leo Mei 7, 2020 katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Kifo chake kimetangazawa na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo. Gwiyama aliteuliwa kushika wadhifa huo Juni 26, 2016.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img