Serikali ya Tanzania leo Mei 8 imepokea msaada wa dawa zinazofubaza Virusi vya Corona kutoka Serikali ya Madagascar.
Tanzania leo imepokea msaada wa dawa zinazofubaza Virusi vya Corona kutoka Serikali ya Madagascar. pic.twitter.com/zahPrjsyOy
— Msemaji Mkuu wa Serikali (@TZMsemajiMkuu) May 8, 2020




