Mei 7, 2020 kupitia ukurasa wake wa twitter, Nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage ametangaza kuwa albamu yake ijayo itakwenda kwa jina ‘Celia.’
Ujumbe wa Tiwa Savage Ukurasa wake wa Twitter.
Album Time “Celia” UP NEXT ⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️⚔️
— Tiwa Savage (@TiwaSavage) May 7, 2020




