Vasmo Akata Kiu Ya Mashabiki Na ‘Nipe’ Kwenye Vita Dhidi Ya Ugonjwa wa Corona

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Mwenye makazi yake chini Ufaransa, Vasmo ameachia wimbo wake mpya baada ya kimya cha miezi miwili tangu aachie kazi yake ‘Niumie’.

Vasmo ameachia wimbo mpya kwa jina ‘Nipe’, Mei 1 2020 kupitia Channel yake kwenye Mtandao wa YouTube, wimbo ambao umetoka sambamba na video iliyoandaliw nchini Ufaransa.

Audio ya Wimbo huo imetayarishwa na Producer True Name nchini Tanzania akishrikiana na Producer Mosess Beats wa nchini. Ghana. Video imechukuliwa na Safouane na kuhaririwa na Dam koman wote kutoka nchini Ufaransa.

Itazame video ya wimbo huo hapa chini.

 

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img