Msanii wa muziki kutoka nchini Kongo mwenye makazi yake nchini Australia ‘Lacreamena’ ameachia rasmi wimbo wake wa kwanza Chini ya lebo Spark Music kwa jina ‘OiOiOi’.
Mkali huyu aliyechukua muda mrefu kufanya maamuzi ya uingia rasmi kwenye muziki sasa amekata utepe ambapo baada ya audio hii anatarajia kuachia video rasmi ya wimbo wake huo uliofungua ukurasa wake wa kwanza wa sanaa kama mwimbaji.
Usikilize wimbo wake huo hapa.




