Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) imesema mchezaji Bernard Morrison ameshinda kesi yake dhidi ya klabu ya Yanga na ataendelea kuwa mchezaji halali wa Simba baada ya mapungufu kukutwa kwenye mkataba baina ya Yanga na Morrison.

MORRISON NI MNYAMA ?
Karibu sana Msimbazi Bernard Morrison (@Bm3Morrison) #MorrisonIsRed #NguvuMoja pic.twitter.com/xfpYxFvieQ
— Simba Sports Club (@SimbaSCTanzania) August 12, 2020




