MrLambert adondosha mpya sambamba na Video iliyofanyika nchini Marekani

Msanii wa muziki wa kizazi kipya mzaliwa wa Tanzania mwenye makazi yake nchini Marekani, ‘MrLambert’ ameachia wimbo wake mpya, ‘Mhm Aha’.

‘MrLambert’ ambaye jina lake kamili ni Lambert Mule, aliachia rasmi wimbo wake huo mpya sambamba na video iliyoongozwa na kuandaliwa nchini Marekani.

Mr. Lambert

Lambert mwenye uwezo mkubwa wa kuandika na kuimba maadhi ya muziki wa kiafrika, kwa sasa anafanya kazi chini ya usimamizi wa ‘For My Brother Music’.

Itazame video ya wimbo mpya hapa chini.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img