Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea nchini Kenya, Jussneera ameachia video rasmi ya wimbo wake mpya uitwao ‘Hatuna Kazi Mbovu’.
Wimbo huo kutoka kwa Jussneera umetayarishwa na Mtanzania Bear chini ya Studio za Yarida Records huku vudeo ikiongozwa na Miwo Bp.
Tazama video ya wimbo huo hapa chini




