Mtayarishaji S2kizzy kusuka ngoma za EP ya Mrlambert

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mrlambert mzaliwa wa Tanzania, mwenye makazi yake nchini Marekani amethibitisha kuwa kwenye mpango wa maandalizi ya EP yake ya nyimbo zilizotayarishwa na mkali wa baadhi ya hit single za Diamond Platnumz, S2kizzy.
Akizungumza na Dizzim Online Mrlambert anathibitisha  ujio huo baada ya kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Shame Em’ na kueleza kuwa EP hiyo ijayo itakuwa na nyimbo zisizopungua 5.

Mtayarishaji S2Kizzy

Hata hivyo Mrlambert katika ujio huo mpya alidokeza kiasi kuwa mbali na kutayarishwa na S2Kizzy, atawashrikisha wasanii kutoka Tanzania na Jamaika kwenye EP hiyo.
Tanzana video ya wimbo wake ‘Shake Em’

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img