Msanii Kutokea Nchini Nigeria, Phlexdenary, mkali wa wimbo ‘Bam Bam’ ft. Rayvanny ameachia wimbo wake video rasmi ya wimbo wake ‘Flavour’ iliyoongozwa na Director Tee Tash.

Phlex ambaye jina lake halisi ni Adeniyi Ariyo, anaachia video hiyo rasmi ikiwa ni wiki kadhaa tangu alipoachia audio ya wimbo huo uliotayarishwa Kims Beat.
Itazame video ya wimbo huo hapa chini




