Mwigizaji wa Filamu Tanzania Singo Mtambalike (Rich) amezungumzia mahusiano yake na Marehemu Mzee Majuto .asema alikuwa kama baba kwa upande wake pia ndio aliyempokea...
Mtoto wa mzee Majuto ajulikanae kwa jina la Mohamed King Majuto,amezungumzia hali iliyopo leo kwenye Hitima ya Marehemu Mzaa Mjuto pia kazungumzia jinsi mama...