News EXCLUSIVE: CRISTIAN BELLA AFUNGUKA UKWELI KUHUSU MPENZI MPYA WA HAMISSA MOBETTO By admin - November 15, 2018 0 212 Facebook Twitter Pinterest WhatsApp DizzimOnline kupitia Muandishi wake Dinny Nassor imefanya mahojiano na Msanii Christian Bella akiwa nchini Marekani, na Amefunguka kuhusu Issue ya Hamissa Mobetto na Mpenzi wake Mpya ambae ni mcheza kikapu nchini Marekani.