MASTAA MBALIMBALI NA WASHIRIKI WA BSS WANOGESHA MSIMU WA SIKUKUU NA STARTIMES/ LIPA TUKUBUSTI BALAA!

Siku ya Jana Mastaa kadhaa wa #FILAMU nchini walifika katika Uzinduzi wa Msimu wa Sikukuu na #StarTimes ambapo Kampuni hiyo ilizindua Ofa zake mbalimbali ikiwemo ya Lipa Tukubusti, Wasanii hao walipata fursa ya kuizungumzia Channel ya Star Swahili ambayo itakua inaonesha Filamu za Kibongo.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img