Siku ya Jana Mastaa kadhaa wa #FILAMU nchini walifika katika Uzinduzi wa Msimu wa Sikukuu na #StarTimes ambapo Kampuni hiyo ilizindua Ofa zake mbalimbali ikiwemo ya Lipa Tukubusti, Wasanii hao walipata fursa ya kuizungumzia Channel ya Star Swahili ambayo itakua inaonesha Filamu za Kibongo.

