Video Vixen maarufu nchini #Officiallyn ametangaza rasmi kuingia kwenye Game ya Bongo Fleva baada ya hii Leo kuachia Ngoma yake mpya ya #Chafu ambayo amemshirikisha Marioo. Lyn anaungana na Video Vixen wengine walioingia kwenye Game kama #GigyMoney Hamisa Mobeto na wengine wengi.
