Nedy Music na Singah kutoka Nigeria njiani kuwasha Moto

Staa wa muziki nchini Tanzania, Nedy Music yuko mbioni kuachia video ya wimbo aliomshirikisha Staa wa wimbo ‘Teyamo’, Singah kutoka Nigeria.

Video ya wimbo huo utakao kwenda kwa jina ‘Carino’ inatarajiwa kutoka rasmi hivi karibuni kwa mujibu wa Post za Singah na Nedy.

Wawili hawa mbali na kuwa na kolabo hiyo ya wimbo, Pia Singah yupo kwenye kolabo ya wimbo ambao umefanyika kati ya Jux na Nedy nchini Afrika Kusini.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img