Timbulo baada ya kovu la Baba Mzazi, ajitokeza akiwa na Jux

Staa wa muziki kutoka Tanzania, Timbulo ameachia video ya wimbo wake mpya aliomshirikisha Jux ‘Nashukuru’.

Wimbo huo umetayarishwa na Producer Mocco Genius huku video ikiongozwa na Director kutoka nchini Kenya, Dr. Eddie.

Nahukuru ni wimbo wa kwanza kutoka kwa Timbulo tangu alipopata msiba wa kumpoteza baba yake mzazi, Mohamed Timbulo, aliyefariki Machi 26 Mwaka huu.

Itazame video ya wimbo huu.

 

 

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img