Kijana Ashikiliwa Kwa Polisi kukutwa na Sare za JWTZ

Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia kijana mmoja aliyetambuika kwa jina Mrisho Ibrahimu kwa tuhuma za kukutwa na sare za jeshi la wananchi (JWTZ).

Mrisho mwenye umri wa miaka 34 alikutwa na sare hizo anazodaiwa kuziiba kwenye nyumba ya baba mkwe wake mkoani Arusha, na kuzivaa kwa lengo la kukwepa kulipa nauli kwenye mabasi.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img