Mpaka Wa Tanzania Na Zambia ‘Nakonde’ Wafunguliwa

Mpaka wa Zambia na Tanzania, ‘Nakonde/Tunduma’ umefunguliwa na shughuli zinaendelea kama kawaida, hii ni baada ya Nchi ya Zambia kufunga mpaka huo kwa kile kilichodaiwa kuwa mpaka huo ni kitovu cha maambukizi ya Virusi ya CORONA.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img