Mpaka wa Tanzania na Zambia Wafungwa kupambana na Corona

Mpaka wa unaounganisha nchini ya Zambia na Tanzania umefungwa leo Mei 11 2020 kutekeleza Agizo la Rais wa Zambia, Edgar Lungu lililotolewa Mei 10 2020.

Serikali ya Zambia ilitangaza kuufunga Mpaka wa Nakonde unaoiunganisha nchini hizo ikiwa ni hatua inayolenga kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona.

Hata hivyo ilifikiwa hatua hiyo ya kuufunga mpaka huo baada ya kuripotiwa visa vipya vya watu wenye Maambuki ya ugonjewa huo katika mji wa Nakonde.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img