Willy Paul Akanusha kuwahi kuandikiwa Wimbo Na Bahati

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Willy Paul amekanusha kupitia ukurasa wake wa Instagram, madai ya kuandikiwa nyimbo na msanii mwenzake, Bahati.

Willy Paul alinekana kurusha mzigo huo kwa bahati ya kuwa amesahau kuwa amekuwa akimuandikia msanii Weezdom akidhani ni Willy Paul.

Tazama ujumbe wa Willy Paul akikanusha hilo.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img