Kevin Hart Na Mkewe Eniko Parrish Wafichua Kutarajia Mtoto

Mchekeshaji kutoka Marekani, Kevin Hart na Mkewe Eniko Parrish wanatarajia kupata mtoto wao wa pili kwa mujibu wa picha walizo post Mchekeshaji huyo na mkewe huyo kwenye kurasa zao za Instagram.

Kevin Hart na familia yake kwenye Picha ya Pamoja

Kevin na Eniko wanatarajiw akupamta mtoto wao na huyu atakuwa ni mtoto wao wa pili baada ya kupata mtoto wao wa kwanza Kenzo Kash Hart mwenye miaka 2 sasa.

Wawili hawa waliweka wazi hilo kupitia kurasa zao za Instagram tarehe ya kuadhimisha siku ya mama Duniani ‘Mother’s Day’ Mei 10 2020.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img