Wasanii wanaounda umoja wa wao kwa jina ‘ROSTAM’, Roma na Stamina wameachia wimbo wa pamoja uliobeba maudhui ya mlipuko wa Virusi vinavyosababisha Ugonjwa wa Corona.
Wimbo huo wa pamoja unakwenda kwa jina ‘Kaka Tuchat’ ambapo video ya wimbo huo ilionesha wawili wakiwasiliana kwa njia ya mtandao.
Itazame video ya wimbo uo hapa chini.




