Tanasha Donna raia wa nchini Kenya mwenye umri wa miaka 23, katika kuadhimisha Siku ya wanawake Duniani ‘Mother’s Day’ Mei 10 2020 ameandika ujumbe uliowekwa sambamba na picha ya Naseeb Junior akimshukuru baba wa mtoto huyo ‘Diamond Platnumz’ kwa zawadi hiyo ya mtoto.
Post ya Tanasha kwenye Ukurasa wake a Instagram.




