Taurus Musik Yatangaza Kumsaini Msanii Mpya ‘Keemlyf’

Lebo ya muziki nchini Kenya, Taurus Musik imemtangaza rasmi msanii wa muziki ‘Keemlyf’ kuanza kufanya kazi chini ya lebo hiyo.

Leo hiyo pamoja na kufanya kazi na Keemlyf inafanya kazi na wasanii wa muziki kutoka nchini Kenya ambao ni Kagwe Mungai, Gin Ideal, Trina Mungai, Urban Hype, Ivlyn Mutua na Tallie.

Awali lebo hiyo imeshafanya kazi na wasanii kama Lady Jaydee kutoka Tanzania na Alicios Theluji kutoka Kongo.

Latest articles

spot_imgspot_img

Related articles

Leave a reply

Please enter your comment!
Please enter your name here

spot_imgspot_img