Mwimbaji Otile Brown ‘OB’ na Mtayarishaji wa muziki, Magix Enga ‘Beat King’ wameonekana kuwa jikoni huku waliowengi wakitarajia kazi kutoka kwa wawili hao.
Wawili hao kutoka nchini Kenya, wamehisiwa kuwa wanaandaa kazi ikizingatiwa kuwa Magix ni mwenye uwezo wa kuandika, kuimba na kutayarisha muziki.




