#BekaIbrozama amezoeleka akifanya matamasha kwa kutumia #Band huku akipiga copy ya nyimbo mbalimbali za hapa nyumbani na hata nje ya Tanzania. Hiki ndicho alichokifanya...
Siku ya Jana Mastaa kadhaa wa #FILAMU nchini walifika katika Uzinduzi wa Msimu wa Sikukuu na #StarTimes ambapo Kampuni hiyo ilizindua Ofa zake mbalimbali...